Ulikuwa mtaa uliokuwa na kila mbwe mbwe , wanawake walikaa kwenye vibaraza na kupeana mipasho ya kila aina lakini pale Ally alipopita kwenye mtaa huo habari ilikuwa nyingine, alikuwa na siri ambayo wanawake hao wote walitaka kuikumbatia daima. Siri hiyo ndio iliyofanya kila mmoja atamani ally awe wake peke yake, lakini walikuwa na waume zao na Ally alikuwa wa kila mmoja kwa siri. je ni siri gani hiyo?
nice
ReplyDelete